Ndege aina ya Bombardier Q400 imeigonga pikipiki iliyokuwa inakatiza uwanjani.

Ndege aina ya Bombardier Q400 ya Congoairways imeigonga pikipiki iliyokuwa inakatiza katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luano Jjijini lubumbashi Nchini Demokrasia ya Congo DRC. Tukio hilo limetokea jumamosi ya tarehe 14 /08 /21 saa moja na dakika 15 jioni wakati ndege hiyo inashuka kwenye njia yake iliigonga pikipiki iliyokuwa inaendeshwa na mwanajeshi aliyekuwa